Wednesday, November 7, 2012



UPATIKANAJI WA MAJI VIJIJINI


Upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo ya Vijijini bado ni tatizo japokuwa Tanzania kama wanavyoonekana wakazi wa Kijiji cha Mkwalia katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Wakazi hao hulazimika kutembea umbali wa kilometa 2 kufuata maji katika maeneo ya mabondeni 


TUNANOA AKILI

Michezo ni moja ya njia muhimi katika kupima uelewa wa mambo kwa watoto. Wazai wanashauriwa kutowapatia majukumu wengi yanayoweza kuwafanya wasipate muda huo adhimu kwao ili waweze kujihusisha na michezo ya kuwajenga kiakili na kiafya.

 TUNAVUNA MPUNGA

Mkazi wa Kijiji cha Mkwalia akivuna mpunga tayari kwa kuundaa kuwa mchele amabao utatumika kwa mahitaji ya nyumbani







No comments:

Post a Comment