Mashabiki wa Klabu Mapingwa wa Ligi kuu ya Tanzania, Simba Spots Club leo hii (06-11-2012) wamelazimika kuingia katika mitaa ya viunga vya Jiji la Dar-es-salaam kwa maandamano yanayodaiwa kuwa ni ya kushinikiza viongozi wa klabu hiyo Kung'atuka kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kwa Viongozi hao kuiletea mafanikio klabu yao. (PICHA: Shafii Dauda) |
|
|
No comments:
Post a Comment