Saturday, November 10, 2012

MAONESHO YA COET (UDSM) YAFANA


Mratibu wa Shahada za awali (UDSM), Precksedec Ndomba(anayekata utepe), akifungua rasmi maonesho ya Chuo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam (COET) kwa lengo la kuwapa uelewa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhusu mafunzo wanayotakiwa kufanya wawapo chuoni hapo.

Mwanafunzi wa Chuo cha Uhandisi (UDSM) akiwaeleza wanafunzi paomja na wageni (hawapo kwenye picha) kuhusu vifaa vinavyotumika katika mafunzi kwa vitendo kwa wanafunzi wa chuo hicho.
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wakipewa maelezo kuhusu shughuli za Chuo cha Uhandisi (UDSM) na mmoja wa waratibu wa maonesho hayo.



No comments:

Post a Comment