Friday, November 9, 2012

RUPIA BANDA AWANOA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UZAMILI-UDSM

Rais Mstaafu wa  Zambia Rupiah Band akiwa pamoja na wasaidizi wake na wenyeji wake alopofika Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam ambapo  alipata fursa ya kuwafundisha wanafunzi wa shahada ya Uzamili kuhusu Siasa na Utawala Bora barani Afrika.

Rais Mstaafu wa Zambia Rubia Banda akibadilishana mawazo na wasaidizi wake apofika Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam katika Campus ya Mwalimu Nyerere.

Rupia Banda akiwanoa wanafunzi wa Shahada ya Uzamili wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam kuhusu Siasa na Utawala Bora Barani Afrika. Katika hudhurisho la mada hiyo kwa wanafunzi amesema kuwa UVUMILIVU ni nguzo muhimu katika maendeleo ya demokrasia duniani kote.

No comments:

Post a Comment