Thursday, November 15, 2012

MWANAMUZIKI WA TAARABU AAGA DUNIA: NI MARIAM KHAMIS WA T.O.T

Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa burudani nchini wakiupeleka mwili wa Marehemu Mariam Khamis aliyejukana na mashabiki hao kwa jina utani la ''PAKA MAPEPE'' katika nyumba yake ya milele baada ya kupoteza uhai kwa kile kinachotajwa kuwa ni kutokana na Kifafa cha kizazi. Marehemu ameacha mume na watoto wawili.
Ashes to Ashes, Dust to Dust! Inshaallah!
Kwaheri Dada yetu Mpendwa!

Baadhi ya waombolezaji na wasanii waliofanya kazi pamoja na marehemu katika bendi ya Muziki wa Taarabu ya T.O.T wakiwa nyumabani kwa marehemu kuhani Msiba.

Ulale mahali pema peponi AMEN!





No comments:

Post a Comment