Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ( Pichani-Kushoto) amefanya ziara nchini Tanzania ambapo akiwa katika Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam amewataka Waafrika bila kujali mipaka ya nchi walizomo kujali umoja na mshikamano ili kufikia ukombozi halisi wa Bara la Afika katika nyanja za Uchumi na Siasa. Nchi ya Afrika ya Kusini imekuwa na mahusiano ya Kihistoria na nchi ya Tanzania tangu enzi za kupigania Uhuru dhidi ya Ukoloni. |
No comments:
Post a Comment