Saturday, November 10, 2012

UMASIKINI CHANZO CHA WATOTO KUKOSA MAHITAJI MUHIMU MKOANI PWANI

Kwa kile kinachotajwa kuwa ni hali ngumu ya maisha kwa wakazi wa Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani kutokana na kutolipwa fedha zao za mauzo ya korosho kwa wakati, watoto wengi wanashindwa kwenda shuleni kutokana na wazazi wao kukosa fedha za kuwalipia ada, kuwa nunulia madaftari, sare za shule na mahitaji mengine ya muhimu kitendo ambacho kinapelekea watoto kujiingiza katika shughuli zinazohatarisha maisha yao ili waweze kupata fedha za kijigharamia mahitaji yao ya kila uchao kama mtoto huyu ambaye ni mkazai wa Kijiji cha Mkwalia alivyonaswa na kamera yetu akiwa anaangua nazi muda ambao alipaswa kuwa shuleni.

No comments:

Post a Comment