Friday, November 16, 2012

ISHANGILIENI SERENGETI BOYS: Mickelsen

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya vijana (Miaka 17) Jacob Mickelsen (Pichani Juu), amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 18-11-2012 ili kuwashangilia Serengeti Boys  ambao wanacheza mchezo wa mzunguko wa tatu kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la Afrika dhidi ya Congo mtanange ambao utapigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar-es-salaam.

No comments:

Post a Comment