Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar-es-salaam limetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu vitendo vya uhalifu ambavyo hujitokeza mwishoni mwa mwaka.
Tafiti za Polisi zinaonesha kwamba kila mwisho wa mwaka sambamba na siku kuu ns sherehe za mwisho wa mwaka vitendo vya uhalifu huongezeka, jambo ambalo linahatarisha usalama wa raia na mali zao.
No comments:
Post a Comment