Friday, November 2, 2012

ISRAEL YAKIRI KUMUUA ABUU JIHAD


Marehemu Abuu Jihad.

Serikali ya Israel kwa mara ya kwanza imekiri kuhusika na shambulio la kijeshi lililotekelezwa na makomando wa Shirika la Kijasusi la Israel (MOSAD) ambalo lilisababisha kumuua aliyekuwa kiongozi namba 2 wa chama cha Ukombozi cha watu wa Palestina (PLO) Bw. Abuu Jihad, katika mji wa Tunis mwaka 1988.


No comments:

Post a Comment