Tuesday, October 30, 2012

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO VIJIJINI-TANZANIA


Waweza kuona ni maajabu lakini ni kweli usio na shaka kwamba katika vijiji vingi Tanzania hali ya upatikanaji wa ELIMU BORA si shwari kama inavyoonekana katika picha hii ya watoto wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mkwalia Katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani!

No comments:

Post a Comment